OFISI YA MKUU WA CHUO INAWATANGAZIA WAHITIMU WOTE WA MWAKA 2015 KWAMBA SHEREHE ZA MAHAFALI ZILIZOKUWA ZIMEPANGWA KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA 2015 ZIMEAHIRISHWA KUTOKANA NASABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WA OFISI HADI ITAKAPOTANGAZWA TENA. OFISI INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA.

 

.OFISI YA MKUU WA CHUO INATOA TAHADHARI KWA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI CHUONI KOLANDOTO KUEPUKA UTAPELI UNAOENDELEA UNAOWATAKA WANAFUNZI KULIPIA ADA KUPITIA NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI. CHUO KINA AKAUNTI NAMBA 0150360279900 BENKI YA CRDB TAWI LA SHINYANGA NA SIO VINGINEVYO. MALIPO YOTE YAFANYIKE KUPITIA AKAUNTI HIYO YENYE JINA "KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES". EPUKA KUTAPELIWA.

NB: CHUO KINAWAPA POLE WANAFUNZI WOTE WALIOINGIA KATIKA KATIZO HILI. ZINGATIA MAELEKEZO YA KWENYE BARUA YA KUJIUNGA NA CHUO PAMOJA NA MAELEKEZO YA MALIPO YA ADA.

Bofya hapa kupakua Tangazo  na utaratibu wa mahafali ya 4

Documents to download

S/N FILE NAME FILE SIZE
1. JOINING INSTRUCTIONS 834 KB
2.

MCHANGANUO WA MALIPO YA ADA

247 KB

>>TO APPLY FOR NACTE HEALTH COURSES THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM FOLLOW THE LINK BELOW AND SELECT KOLANDOTO COLLEGE AS YOUR 1ST,2ND & 3RD CHOICE...

Bofya Hapa! Click Here!   

FOR MORE INFORMATION ON HOW TO APPLY PLEASE CONSULT THE ADMISSIONS OFFICER

                 Image result for TELEPHONE IMAGE Admissions Officer: 0762151237 & 0653384723 Call during work days and work hours (8am - 4pm)

                                Image result for staff mail image

 

WELCOME TO KOLANDOTO