Home

http://www.ucc.co.tz/images/newicon.gif

***WAHITIMU WA MWEZI MACHI NA AGOSTI***

http://www.ucc.co.tz/images/newicon.gifFOMU YA GRADUATION

MAAFALI YA 3 YA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO YATAFANYIKA TAREHE 10 OKTOBA 2014. FOMU ZA MAHAFALI ZINAPATIKANA CHUONI.

http://www.ucc.co.tz/images/newicon.gifWANAFUNZI MLIOCHAGULIWA RIPOTINI CHUONI KUANZIA TAREHE 8 SEPTEMBA SIKU YA JUMATATU SEPTEMBA 2014. USAJILI UTAFANYIKA MASAA YA KAZI TU. ( SAA 2 KAMILI ASUBUHI HADI SAA 11 KAMILI JIONI) SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI HATUPOKEI WANAFUNZI. ZINGATIA MUDA TAFADHALI

FEE STRUCTURE ANALYSIS YEAR 2014/2015

 AGPAHI - KOLANDOTO INTEGRATED REPRODUCTIVE HEALTH - SKILLS LAB PROJECT

The Agpahi CEO Mr. Laurean Rugambwa paid a visit at the college premises to see the renovated Skills lab building which was funded by his organization's Shinyanga branch.

AGPAHI DELEGATION IN THE RENOVATED SKILLS LAB

From Left: Mr. Faustine (Makonda construction), Mr. Paschal Shiluka (HOD – Nursing), Dr. Gasto Njau (Regional Manager – Agpahi Shinyanga), Mr. Malimi Salehe (Principal – KCHS), Mr. Laurean Rugambwa (CEO Agpahi), Dr. R. Mhana (Vice Principal – KCHS) and Ms. Suzanna Mkanzabi (A & C Manager – Agpahi)

 

The CEO sharing some issues concerning the skills lab   and the project.    

Outside view of the Kolandoto College Skills lab

The Agpahi CEO and delegate visited the KCHS Library to see the books funded by Agpahi to the school of Nursing.

http://www.ucc.co.tz/images/newicon.gif

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA KOLANDOTO. (ORODHA HII ITAKUWA IKIBADILIKA KADRI WANAFUNZI WATAKAVYOKUWA WAKIONGEZWA NA NACTE)

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA WANAPASWA KULIPIA TSH. 200,000/= KWENYE AKAUNTI NAMBA 0150360279900 BENKI YA CRDB. JINA LA AKAUNTI: KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES. FEDHA HII NI KWA AJILI YA USAJILI.

UDAHILI UNAENDELEA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOHITIMU MWAKA 2014.

FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA HAPO CHINI.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA:

+255-737211938 (KUANZIA SAA 2 ASUBUHI - SAA 9.30 JIONI)

 

Attachments:
Download this file (fee anaylsis.pdf)FEE ANALYSIS[fees]626 kB
Download this file (fee.pdf)FEES STRUCTURE[ ]272 kB
Download this file (GRADUATION FORM.pdf)GRADUATION FORM[a graduation form]60 kB
Download this file (JOINING INSTRUCTION 2014.pdf)JOINING INSTRUCTIONS 2014/2015[ ]249 kB

photo gallery

Calendar

October 2014
SMTWTFS
1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031